Tangazo

Kwa wanafunzi wote waliomaliza kidato cha sita mwaka 2016 na kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) katika ngazi ya diploma, ambao wamechelewa kuwasilisha fomu zao za kuomba mkopo kwenye Mfuko wa Mafundi sanifu wa Maji (Water Technicians Fund) kutokana na kuhudhuria mafunzo ya jeshi . Mnaongezewa muda wa WIKI MOJA wa kuwasilisha maombi ya mkopo kuanzia tarehe 19/09/2016 na mwisho wa kupokea fomu ni tarehe  26/09/2016.

NB 

Ambatanisha vitu vyote kama vilivyotajwa kwenye fomu ya mkopo ukurasa wa 11 pamoja na result slip ya kidato cha sita na cheti cha kuhitimu mafunzo ya jeshi (JWTZ).

 

Address

C/o Water Development & Management Institute.

University Road, WDMI Buildings

P.O. Box 35059 Dar es Salaam